Back to Africa Check

Pregnant with 11 babies? No, woman with giant ovarian tumour

Bonyeza hapa ili kusoma ripoti hii kwa Kiswahili.

A Kenyan Facebook page has shared two photos with the claim they show a miraculous single birth of 11 babies.

In one, a woman with an unnaturally large belly is lying in a hospital bed. The second photo shows 11 babies surrounded by smiling doctors and nurses.

The Kiswahili caption reads: “Pichani mama mmoja nchini Cuba aliyejifungua mapacha 11. Mmoja wa kiume wengine ni wa kike. Share picha hii ili watu waone ukubwa wa allah na maajabu yake.”

This translates as: “Pictured is a Cuban woman who gave birth to 11 twins. One is male and the rest are female. Share this photo so that people can see how great and wonderful Allah is.”

Is this the story of these photos? We checked.



Massive belly from 60 kilogram tumour


A reverse image search using the photo of the woman leads to news reports from August 2014. She is Mercedes Talamantes, a Mexican woman who had surgery to remove a 60-kilogram ovarian tumour.

Mexican news site BCS Noticias reports that “surgeon Gilberto Inzunza Salazar explained that the operation lasted four hours, and had no major complications because the tumour in the ovary was described as benign”. Another report attributes the photo to Reporters Without Borders.

The tumour had grown over five years, and had become so large that Talamantes could hardly move. She finally sought medical help after much nagging by her daughter, according to a video in a report by the Daily Mail. 

Some of the reports claim it was the world’s biggest tumour. But BBC records of medical feats show that that “largest tumour ever removed intact was a multicystic mass of the right ovary weighing 137.6 kg”. (Guinness World Records say it weighed 138.7 kilograms.) It was removed  at Stanford University Medical Center in the US in 1991.

“The patient weighed 95 kg (210 lb) after the operation and left theatre on one stretcher. Her cyst left on another,” the BBC says.

Babies born at fertility clinic


Another reverse image search using the photo of 11 babies led us to the Nadkarni IVF blog of the 21st Century Hospital and Test Tube Baby Centre in India. A number of photos of the babies are published in a blog post.

The photos show 11 of the 13 babies conceived by in vitro fertilisation and born to 11 mothers on 11 November 2011 – or 11/11/11.  – Grace Gichuhi





Mjamzito na watoto 11? Hapana, mwanamke aliye na tumor kubwa ya ovari


Ukurasa wa Facebook wa Kenya ilichapisha picha mbili na madai kwamba zinaonyesha miujiza ya watoto 11 kuzaliwa kwa mara moja.

Katika picha moja, mwanamke aliye na tumbo kubwa lisilo la kawaida amelala kitandani hospitalini. Nyingine inaonyesha watoto 11 wakizungukwa na madaktari na wauguzi wenye tabasamu.

Maelezo katika chapisho hilo yasema: “Picha ni mama mmoja nchini Cuba aliyejifungua mapacha 11. Mmoja wa kiume wengine ni wa kike. Share picha hii ili watu waone ukubwa wa allah na maajabu yake.”

Je! Hii ndiyo hadithi ya picha hizi? Tulichunguza.



Tumbo kubwa kutoka uvimbe wa kilo 60


Utafiti katika mtandao kwa kutumia picha ya mwanamke huyo inatuongoza kwenye ripoti za habari kutoka Agosti 2014. Yeye ni Mercedes Talamantes, mwanamke wa Mexico ambaye alifanywa upasuaji ili kuondoa uvimbe wa ovari wa kilo 60.

Tovuti ya habari ya Mexico BCS Noticias inaripoti kwamba “daktari wa upasuaji Gilberto Inzunza Salazar alielezea kwamba operesheni hiyo ilichukua masaa manne, na haikuwa na shida kubwa kwa sababu uvimbe katika ovary ilielezewa kama isiyo mbaya zaidi”. Ripoti nyingine inaashiria picha hiyo kutoka kwa shirika la Waandishi Bila Mipaka.

Uvimbe ulizidi kukuwa zaidi ya miaka mitano, na ulikuwa kubwa hadi Talamantes hakuweza kusonga. Mwishowe alitafuta msaada wa kitabibu baada ya kusumbuliwa sana na binti yake, kulingana na video katika ripoti ya Daily Mail.

Baadhi ya ripoti zinadai kuwa uvimbe huo ukiluwa kubwa zaidi duniani. Lakini rekodi za BBC za matukio makubwa ya matibabu zinaonesha kuwa “uvimbe mkubwa kabisa uliyowahi kuondolewa ulikuwa “multicystic mass” ya ovari ya kulia yenye uzito wa kilo 137.6”. (Guinness World Record inasema ilikuwa na uzito wa kilo 138.7.) Uliondolewa katika hospitali ya Stanford University Medical Center huko Marekani mnamo 1991.

“Mgonjwa alikuwa na uzito wa kilo 95 (paundi 210) baada ya operesheni na akatoka chumba cha upasuaji akibebwa kwa kitanda cha wagonjwa, huku uvimbe wake ukibebwa kwa kitanda kingine,” BBC inasema.

Watoto waliozaliwa kwenye kliniki ya uzazi


Utafiti mwingine katika mtandao tukitumia picha ya watoto 11 ulituongoza kwenye blogu ya Nadkarni IVF kwa hospitali ya 21st Century Hospital and Test Tube Baby Centre nchini India. Picha kadhaa za watoto zimechapishwa katika chapisho la blogu.

Picha zinaonyesha watoto 11 kati ya 13 waliotungwa kwa maabara na waliozaliwa na mama 11 mnamo Novemba 11, 2011 - au 11/11/11. – Grace Gichuhi




 

Republish our content for free

Please complete this form to receive the HTML sharing code.

For publishers: what to do if your post is rated false

A fact-checker has rated your Facebook or Instagram post as “false”, “altered”, “partly false” or “missing context”. This could have serious consequences. What do you do?

Click on our guide for the steps you should follow.

Publishers guide

Africa Check teams up with Facebook

Africa Check is a partner in Meta's third-party fact-checking programme to help stop the spread of false information on social media.

The content we rate as “false” will be downgraded on Facebook and Instagram. This means fewer people will see it.

You can also help identify false information on Facebook. This guide explains how.

Add new comment

Restricted HTML

  • Allowed HTML tags: <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Web page addresses and email addresses turn into links automatically.
limit: 600 characters

Want to keep reading our fact-checks?

We will never charge you for verified, reliable information. Help us keep it that way by supporting our work.

Become a newsletter subscriber

Support independent fact-checking in Africa.